Tangawizi ina madhara kwa mama mjamzito?

Tangawizi ina madhara kwa mama mjamzito?

Avelina

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
70
Reaction score
12
Habari zenu wana jamvi? mimi ninaujauzito wa miezi minne lakini cha kushangaza nikinywa chai natapika lakini nikinywa tangawizi sitapiki je labda tangawizi ina madhara yoyote kwa mama mjamzito?
 
Back
Top Bottom