"Tanganyika Oct 29"

"Tanganyika Oct 29"

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Screenshot_2025-11-01-22-25-47-30_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Vivaaa "Tanganyika Oct 29"

Mpaka sasa waTanganyika lazima tukubaliane na haya

1) Maandamano yetu yametupa mwanzo mpya , ni rasmi sasa tumekata cheni za hofu juu ya watawala waovu(CCM). Na sasa ni wao wanahofu na sisi na hii itadumu milele

2) Hakuna wakutukomboa isipokuwa sisi wenyewe, namaanisha raia waTanganyika pekee ndio tunaweza kujikomboa na kuitetea ardhi yetu ,pasipokutegemea taasisi yoyote ile hususani JWTZ

3) Damu za WaTanganyika waliofariki na watakaofariki baadae ni lazima zilipwe kwa damu .! Hakuna msamaha, Wala HURUMA wala majadiliano katika hili.

4) Kwakua tumekuwa na mwanzo mzuri wa mapambano, katika vita ambayo tumepigana kwa moyo na mwili bila silaha ya moto kwa kufuata misingi halali ya kikatiba kupitia haki ya maandamano, lakini bado adui yetu amelazimika kuomba msaada toka kwa waovu wenzake. Ni sababu tosha ya sisi kutofadhaishwa na matokeo ya maamuzi yetu..Tuvae moyo wa ujasiri na kusonga mbele zaidi!!
Endelea kujaza watu ujinga.
 
Matako yako ! Uko exile watu tuko on ground, af bado unatoa vitisho..Takataka kabisa
Uko ground ungekuwa unashinda jamii forums humu kujaza wenzio upumbavu wako. Ni suala la muda tu huo mdomo utakuisha wewe dhani huko uliko umejificha.
 
Uko ground ungekuwa unashinda jamii forums humu kujaza wenzio upumbavu wako. Ni suala la muda tu huo mdomo utakuisha wewe dhani huko uliko umejificha.
Kila aliyeko online hayuko bongo au sio?😁
 
Back
Top Bottom