Japhet Mosi
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 207
- 53
Kama akina Stola walimaliza muda wao nani viongozi wapya? Pamalagamba ni lawyer mzuri sana lakini alitutosa Mgombea binafsi na ninaimani ndiye aliyeandaa Rasimu mbadala ya CCM. Alimshinikiza CJ Augustino Ramadhani kutoa hukumu ya ajabu sana kesi ya mgombea binafsi na akajirudi na kuitisha jalada la wastaafu wa EA na kuiamuru serikali iwalipe mafao yao japo imegoma. Court of Appeal na maamuzi ya mwisho lakini hayaheshimiwi na serikali yetu sikivu! Suala la mgombea binafsi labda litatatuliwa na Katiba Mpya