Tanganyika kuizunguka Zanzibar

Naona katika maisha yako mwalimu wa Jiografia hukuwahi kuonana naye hata siku moja.
 

Hapo kwenye red!!! Mwalimu wako wa Jiografia darasa la tano hakufanya kazi yake ipasavyo!!! Nchi zilizozungukwa na South Afrika ni Lesotho na Swaziland.!!! Anyway Zanzibar ni yetu hata kabla ya hii mipaka watu wake kiasili wametoka Bara wale watu hawakuota kama uyoga!! Kwa hiyo hatuwezi kuviachia visiwa vyetu ni sawasawa kuachia ngedere shamba la mahindi!!!!!!
 
Tibaijuka weka ramani kuonyesha kile ulichoomba na sio kutaja ukubwa eneo uliloomba ili wananchi wajue ukweli.
Kuwa muwazi na sio siasa kumbuka ardhi ni rasilimali za nchi.
fuatilia hilo andiko lilikwenda UN ramani ipo au unasubiri imwagwe hapa JF??
 
Wadau nimewasomeni,was just wanted to see how people react,wengine wanasoma neno hadi neno,wengine wanakurupuka na kujibu tu!. It is true kuwa Nchi zilizozungukwa na South Afrika ni Lesotho na Swaziland. Na nilipo iona ramani humu jamvini,yenye kuonyesha proposed boarders huo ndo ukweli,Wataweza vyunja muungano yes,but watakuwa wamezungukwa na maji ya Tanzania au mnasemaje wadau?
 
Mbumbumbu Jazz Band
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…