Hawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi?
Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea..
Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya karamu ya mapichapicha...😭
Waswahel na hekima zao.. Waliwahi kusema .. KIZURI CHAJIUZA.. KIBAYA CHAJITEMBEZA...
Halafu kwa hekima hizohizo wakasema.. UZURI WA MKAKASI ..NDANI KIPANDE CHA MTI!
Hawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi?
Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea..
Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya karamu ya mapichapicha...😭View attachment 3256161