Huna hoja,zaidi umeongozwa na :Ukiangalia nafasi za kazi serikalini, balozini, mgao wa pesa.
Nilishangaa Juzi kati pale SGR wale security officers ni Wapemba aiseee kwa 75%Ukiangalia nafasi za kazi serikalini, balozini, mgao wa pesa. Huu mkaba wa kijinga ni wa kuwachuna ndugu zao wa Tanganyika!
Huna hoja,zaidi umeongozwa na :
chuki
1.tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya
2.maneno ya kugombanisha watu
3.hali ya kukasirika
Nionyeshe huo upendeleo kuhusu ajira.Kausome Muungano ,umeoliongelea hilo la ajira.Unasema chuki wewe unataka kusema hakuna upendeleo kwenye ajira
Hiki changu chako cha woteHuna hoja,zaidi umeongozwa na :
chuki
1.tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya
2.maneno ya kugombanisha watu
3.hali ya kukasirika