Tanganyika imerudi

Ndiyo irudiiiiiiiiiiiii....mi sijaiona nataka niione....sijui ina rangi gani.
 
Vipi kuhusu CCM mkuu?Nayo itabaki au itabidi wajiite TANU na ASP irudi?
 
CCM nao watabaki na jina lao?Au watairudisha TANU na Zanzibar wawe na ASP yao?
 
KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.

ANDIKA NENO

a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.

b)HAPANA~TANGANYIKA HURU ISIRUDI.

a) NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI
 
Tangazo!!!hadi sasa zaidi ya watanzania elfu 30 katika mitandao mbalimbali ya kijamii wamekubali tanganyika huru irudi naendelea kupokea maoni mbalimbali kutokana na status yangu,hadi sasa takwimu kamili nitatoa baada ya zoezi kukamilika,asante kwa kushiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…