Tanga wing ahsanteni sana!Mbarikiwe kwangu mimi ilikuwa zaidi ya nlichokitegemea!

Pole sana Mpendwa!
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani, Amen!
 
Pole sana amu Mungu amreheme ampe makao mema
 
Last edited by a moderator:
Mjukuu wangu amu, mie pole yangu ntakupa Live..... Ukirudi nistue.
 
Last edited by a moderator:
pole sana amu kwa msiba habari ndio na iona na kuisikia leo kupitia hapa. pole sana
 
Last edited by a moderator:
hii habari ndo naisoma sasa, sijui hata kilitokea nini......
pole sana amu....
RIP dada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom