kingcomrade
Member
- Jun 11, 2014
- 7
- 0
kama kuna anaefahamu mkoa wa tanga kuna site ngapi za vodacom na airtel na ngapi ni 2G na 3G katika kila wilaya. naomba msaada plz kama kuna mwenye info zote hizo nasaka ajila kampuni moja ya mawasiliano sasa kabla sijaenda huko tanga wamenitumia niende nainfo hizo kama challenge.mimi niko dodoma ila nilipeleka cv yangu TANGA kwenye hiyo kampuni