Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,469 Reaction score 101,404 May 30, 2018 #21 Tanga zamani kulikua na mabinti wanajiita Real Madrid na wengine Barcelona,walikua balaa
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,394 May 30, 2018 #22 Utamu mwerele ""......Aiseee"" mniitage kwenye mautamu kama haya " guys...duhh kweli tanga raha""
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,394 May 30, 2018 #23 mtu chake said: Tanga zamani kulikua na mabinti wanajiita Real Madrid na wengine Barcelona,walikua balaa Click to expand... Mkuu ilikuwaje " kuhusu hao ""
mtu chake said: Tanga zamani kulikua na mabinti wanajiita Real Madrid na wengine Barcelona,walikua balaa Click to expand... Mkuu ilikuwaje " kuhusu hao ""
LaplaceTransformation JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 776 Reaction score 679 May 30, 2018 #24 Jamani kapeace kapotelea wapi? Maana sasa hata simu hapokei. Mtani tafadhali njoo pm.
Mibas JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,213 Reaction score 6,390 May 30, 2018 #25 vvm said: Sasa ndio hadi cake ziwekwe kama mkufu mkuu....hiyo ni maujanja yakuongeza mahaba Click to expand... Tanga bwana!!!!
vvm said: Sasa ndio hadi cake ziwekwe kama mkufu mkuu....hiyo ni maujanja yakuongeza mahaba Click to expand... Tanga bwana!!!!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 May 30, 2018 #26 Hajar said: Hahahaaaa. Lol Nimo kwenye nini babu? Click to expand... Kwenye mambo ya Tanga Rahhhaa...
Hajar said: Hahahaaaa. Lol Nimo kwenye nini babu? Click to expand... Kwenye mambo ya Tanga Rahhhaa...
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,695 Reaction score 123,501 May 30, 2018 #27 Hapo ukimaliza kula hayo maandazi na hizo chapati,demu anabaki ananuka mwili kama jiko la kukaangia mihogo au jiko la kukaangia Samaki feri.
Hapo ukimaliza kula hayo maandazi na hizo chapati,demu anabaki ananuka mwili kama jiko la kukaangia mihogo au jiko la kukaangia Samaki feri.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 May 30, 2018 #28 Tumosa hapo juu... naona unanigongea like kimyakimya...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,385 Reaction score 139,186 May 30, 2018 #29 Hii ndio tafsiri sahihi ya msemo 'MAPENZI UCHAFU'