Mlingano haipo Pongwe,ipo wilaya ya Muheza. Na kile ni chuo cha mifugo.
Tanga Fresh ni muungano wa ushirika wafugaji wa Tanga yaani Tanga Daily Cooperative Union na waholanzi. Ambapo wafugaji wanauza maziwa yao pale kiwandani.
Nai miss Tanga fresh huku kanda ya ziwa tunapata Mara milk lakini yanachakachuliwa sana hata sina tena hamu kuyanunua!Tanga fresh leteni Kahama maziwa yenu wateja tupo sana.Mara milk wanaweka unga Tanga fresh ni bomba!