TANESCO

broda

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
245
159
hivi hawa TANESCO siku hizi ndo aibu imeisha, zamani walikua wanatangaza kua watakata, saivi wanakata tu wakijiskia, hapa Dodoma daily wanakata afu bila taarifa, nahisi ni jipu Magufuli tumbua
 
Uchaguzi umeisha hakuna kuheshimiana tena
 
Back
Top Bottom