Tanesco

Tanesco

Ymng'ombe

Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Ni ushauri tu!Hivi Tanesco kwann msibinafsishe kitengo cha upimaji service line na form za kujiunga Tanesco Kwa ELECTRICAL CONTRACTORS mliowasajili!?Mnawakabidhi form za kujiunga,wanazi sign na kuwapimia wateja na nyinyi(Tanesco)mnahakiki na kufanya malipo ya S/line husika.Hili jambo litawasaidia nyinyi sana pamoja na E/Contractors msiowapa Tenda za Umeme,mnawapa Elimu na sheria zenu.Rushwa itapungua kwenye hii sector.Pia muwe mnaitisha kikao na Contractors wenu.It just an Opinion.
 
Back
Top Bottom