Tanesco

Mzito Kabwela

Platinum Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,908
Reaction score
7,751
Shirika la umeme Tanzania lilivyokuwa zamani na lilivyo sasa
 

Attachments

  • TANESCO.jpg
    38.9 KB · Views: 164
yaani kutoka Twiga mnyonge mpaka koboko aka kifutu au cobra kabisa muuaji hahahahah kweli azimio la zanzibar kiboko
 
kweli bora iwe hivyo maana wanaidhalilisha picha ya twiga
 
Yaani air tanzania na tanesco wanamdhalilisha kweli mnyama wa taifa letu, yaani siku hizi wanamwita twiga mzembe, bora wabadilishe hiyo nembo yao naona uyo nyoka anamfaa twiga mzembe tanesco na airtanzania wabadilishe waweke mnyama mwingine asiyeweza hata kuruka kama ......... Malizia
 
hii ndiyo fasihi hasa ...watu wengi wamejitahidi kueleza hili suala lakini lugha waliyotumia haikuweza kueleweka kwa wote lakini kwa kalamu ya msanii huyu naona kamaliza kila kitu. Na asiyejua kinachoendelea aangalie cartoon hii. Asante kwa post
 
Shirika la umeme Tanzania lilivyokuwa zamani na lilivyo sasa

Hivi Mkuu wanasiasa watakula wapi iwapo Tanesco itakuwa kama Twiga mnyenyekevu? Kazi ya siasa ndio imelibadilisha shirika kuwa katika hali hiyo. Si Tanesco tu, fikiria TRC, ATC, nk, nk... POST HIYO IKO BOMBA. Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…