Mkuu ni kweli kabisa sisi huku vijini kilimanjaro tumeacha kabisa kutumia umeme haswa baada ya kuondoa tariff 4 inashangaza wabunge wetu wameshindwa hata kuuliza sababu za kuondoa tariff 4 mkoani kilimnjaro ,kimsingi tuwarudishe tu wabunge wa ccm walau maswala ya msingi kama haya wanaweza saidia.