Angalia vizuri risiti (Debt collected 5,000/=) mita yake ina madeni ya nyuma huenda alikuwa na mita ya mzunguko wakambadilishia sasa ukinunua umeme nusu ya hela wana kata kabisa halafu nusu ndio wanakupa token hapo kapewa umeme wa sh. 5000/=Mmh, 10,000/- upate 14units? Hii imeanza lini mkuu, manake jana tu nimenunua umeme na sikupata hizo units.
Someni vizuri risiti jamani hapo inaonesha amelipia sh 10,000/= lakini amekatwa 5,000/= kupunguza au kulipia deni analodaiwa. Units 14.1 ni umeme wa sh. 5,000/= Deni ni hayo maneno yameandikwa "Debt Collected 5,000/=Mbona siku nyingi wameshaanza kukata yaani mimi nilikuwa nanunuaga umeme wa 10,000 unit 28.1 sasa hivi ukiweka 10,000 unakuja umeme unit 14 huku 5000 imeenda kusikojulikanaView attachment 1049618
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una deni na mlikubaliana kila unaponunua umeme wanapunguza deni! sasa nini kulalamika? Maliza deni uone kama elfu kumi unit 14.1 au 28.6!Mbona siku nyingi wameshaanza kukata yaani mimi nilikuwa nanunuaga umeme wa 10,000 unit 28.1 sasa hivi ukiweka 10,000 unakuja umeme unit 14 huku 5000 imeenda kusikojulikanaView attachment 1049618
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unavyokiri kuwa ziliondolewa zote mwaka Jana. Kwahiyo miaka yoote tangu baba wa taifa mnahujumu TANESCO alafu mnajisifia eti mmeendelea?? Maendeleo ya wizi not sustainable. Mbona sasa mnaanza kulialia na hamkumbuki mlikuwa mnakwiba?. Nyie watu weezi na mnanuka damu ya wizi!Moshi hakuna mtu mwenye tarrif 4 ziliondelewa mwaka Jana Kwa wote, acha ligi zisizo na kichwa wala miguu
Jingine hili hapa "WATU WA KILIMANJARO" ukabilaMkuu ni kweli kabisa sisi huku vijini kilimanjaro tumeacha kabisa kutumia umeme haswa baada ya kuondoa tariff 4 inashangaza wabunge wetu wameshindwa hata kuuliza sababu za kuondoa tariff 4 mkoani kilimnjaro ,kimsingi tuwarudishe tu wabunge wa ccm walau maswala ya msingi kama haya wanaweza saidia.