Peleka hii kwenye jokes mkuu...
TANDASCO is better than TANDSCOTANESCO
P.O.BOX 00000
DAR ES SALAAM
Ndugu Mteja,
YAH: KUBADILI JINA LA SHIRIKA
Husika na kichwa cha habari hapo huu, shirika la kusambaza umeme Tanzania TANESCO (Tanzania Electric Supply Company Ltd) limeona vyema kubadili jina lake na kuwa TANDSCO (Tanzania Darkness Supply Company Ltd) yaani Shirika la Kusambaza Giza Tanzania. Hii ni kutokana na majukumu ya shirika kubadilika.
Endelea kufurahia huduma bora toka TANDSCO.
Imetolewa na Mkurugenzi wa TANDSCO Taifa.
"We Dark up your life"
TANDASCO is better than TANDSCO
wakati tunapambana naamini hatuzuiwi kucheka, naunga mkono iende jokes.Kwenye jokes mkuu huku unazingua'tunapambana mambo yawe safi siyo utani'
ndo maanake!wakati tunapambana naamini hatuzuiwi kucheka, naunga mkono iende jokes.
<br />Peleka hii kwenye jokes mkuu...