Tanesco wataka Serikali ilipe bil. 94 za Dowans

Dubo

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
322
17
WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) wameitaka Serikali kuilipa Kampuni Dowans deni lake la zaidi ya Sh bilioni 95 kwa madai kuwa, ndiyo iliyoshiriki mchakato wa mkataba huo bila kuzingatia ushauri wa kitaalamu kutoka Tanesco.

Aidha, wameitaka ipitie upya mikataba ya uzalishaji umeme ya Kampuni za IPTL na Songas, kwa madai kuwa mikataba hiyo ni mizigo mikubwa kwa shirika hilo, wateja na Watanzania kwa jumla.

Chanzo : HabariLeo | Tanesco wataka Serikali ilipe bil. 94 za Dowans
 
Back
Top Bottom