TANESCO wapandisha gharama za umeme kiaina

TANESCO wapandisha gharama za umeme kiaina

Haiwezekani ikawa hivyo, tar. 26 january mwaka huu luku yangu iligoma kununua umeme nilipoenda tanesco nilikuta wamenibadilisha toka t1 kwenda t4!
May be utakuwa unapaki gari nyeusi nje so taa inakula mwanga mwingin( more energy used) kumulika gari
 
Hivyo ndivyo nilivyoelezwa Tanesco.Labda nikuambie matumiziyangu ni taa nne na Tv sina brenda wa la friji sasa hizo unit 72 kwa mwezi nitazitumiaje?
Hizo taa 4 ungeeleza total power ni kiasi gani. Na taa za nje ni ngapi na za ndani ni ngapi. Pia hiyo TV power yake ni kiasi gani.
Then unataka kuniambia wewe unanyoosha nguo zako kwa pasi ya mkaa? Au unacharge simu kwenye vibanda mtaani?
Unataka kusema huna subwoofer, ok hata kama huna hiyo TV haina king'amuzi au deki? Inafanyeje kazi na ulimwengu huu wa digital.
Acha kulalamika fanya mahesabu au tafuta mtaalamu utaelewa tu.
 
Back
Top Bottom