Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,602
- 378
Kwani Kinondoni Mkwajuni ipo nje ya Dar? Hapa umeme umekatika toka asubuhi.
+49 159 04181859
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Hiyo ni number whatsapp ya "DW" ujerumani,wanafanya utafiti wa nani anakubalika urais Tanzania.
👇🏾👇🏾👇🏾save hiyo namba na tuma Neno LOWASSA.
Wenzetu wa chama cha mapinduzi CCM wanahamasishana kwa wingi kupiga kura kwa njia ya WhatsApp.
Hivyo ukiwa kama mwana UKAWA kura yako ni muhimu sana.
Mfano kwenye mkutano gani wa upinzani.tanesco wanawahujumu sana watanzania. umeme unakatwa hovyo sana hasa wakati wa mikutano ya wapinzani ikionyeshwa live...
Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]
Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia Ccm John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara,
Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine
Umekatika huku kwetu baada ya magufuri kumaliza speech yake
Arusha waliondoka nao,tunasubiri tar25 Oct.
Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]
Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia CCM John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara.
Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine.[/
Gas siyo issue tena
CCM ndio chanzo cha umeme kusumbua katika nchi hii