TANESCO wamekata umeme

TANESCO wamekata umeme

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,208
Reaction score
18,226
Hivi kuna mgao? Umeme unakatika katika hovyo na hawasemi ni kwa sababu gani!
Takribani masaa matatu hakuna umeme. Nahisi ni Dar mzima. Majipu mengine ukitumbua yanaota matezi.
itakuja fika hizi PHd teuliwa zinaakisi kipimo cha kufeli.
 
Dyu!! Labda wanafuata agizo la mzee.
 
Hamia dodoma mkuu naona kila kitu kinahamia huku mpaka umeme
 
Utal
Hivi kuna mgao? Umeme unakatika katika hovyo na hawasemi ni kwa sababu gani!
Takribani masaa matatu hakuna umeme. Nahisi ni Dar mzima. Majipu mengine ukitumbua yanaota matezi.
itakuja fika hizi PHd teuliwa zinaakisi kipimo cha kufeli.
Utaliwa police wewe maana ndo mmeambiwa hamlipi aaah
 
Back
Top Bottom