Intricate JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 395 Reaction score 1,232 Sep 30, 2025 #1 TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa. Mnatarajia watu waishi vipi bila ya umeme kwa masaa 24?
TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa. Mnatarajia watu waishi vipi bila ya umeme kwa masaa 24?
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,710 Sep 30, 2025 #2 Wanajua mama yao yupo bize na kampeni, hivyo hakuna wa kuwafokea, juzi kati hapo napo nimesikia luku imepanda.
Wanajua mama yao yupo bize na kampeni, hivyo hakuna wa kuwafokea, juzi kati hapo napo nimesikia luku imepanda.