Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
[emoji2] [emoji2] [emoji1] loooh!!saaafi gud advicePole
Dawa kuhamia masakiiiiii
Hahaha wanga kidogoTanesco km wangaa
Kungine mbagala MBANDE sista angu anajuta kuhamia!Hahaha wanga kidogo
Kijichi na kigamboni nahisi zinaongoza kukatiwa umeme......
Weee mwanume unaongea nini wewe???Sijawah kuwazaa kukaaa maeneo yanayoelekeaaa kusini .......inshort maeneo ya temeke kwa ujumlaa!!
Mwanaume nani sasa??Weee mwanume unaongea nini wewe???
Kwa taaarifa yako hapa nilipo umeme haukatiki tangu JPM alipozungumza na wafanyabiashara
Tangu asubuhi Leo hatuna power hadi Saa hii.wiki tatu zote hizi tangu kuanze Mvua Umeme ni wa kubahatisha mno mchana...
Saa hii tukio gizani,kibaya kwenu huwa hamsemi tatizo Na hamsemi muda wa kurudishwa.
Naongea na wewe kinyagoMwanaume nani sasa??
Hahahhaa weee usiniambiee??lol sikupi airtime mtoto mdogo kama ww....u dnt desrve my attention LbNaongea na wewe kinyago
Tangu asubuhi Leo hatuna power hadi Saa hii.wiki tatu zote hizi tangu kuanze Mvua Umeme ni wa kubahatisha mno mchana...
Saa hii tukio gizani,kibaya kwenu huwa hamsemi tatizo Na hamsemi muda wa kurudishwa.
Unaijua Kijichi lakini?umefika hadi beach?wengi hamuijui,mazingira,majumba utulivu ni style ya mbezi beach Na sasa hivi mitaa mingi inawekwa lami ujenzi unaendeleaSijawah kuwazaa kukaaa maeneo yanayoelekeaaa kusini .......inshort maeneo ya temeke kwa ujumlaa!!
Watu Huku wanafanya kusudi, wanaangalia profile yako halafu wanakuita jinsia tofauti na ulivyoMwanaume nani sasa??
Sijasemaa ni pabayaa ndugu ninachosema ni kuwa sijawah kuwaza kukaa maeneo ya huko my dearUnaijua Kijichi lakini?umefika hadi beach?wengi hamuijui,mazingira,majumba utulivu ni style ya mbezi beach Na sasa hivi mitaa mingi inawekwa lami ujenzi unaendelea
Tembelea Siku moja huku kwa marehemu filikunjombe,kwa zombie nk uone streets Na mashule