TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Kinondoni Kaskazini

hakuna shida

Member
Dec 16, 2015
25
5
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa leo asubuhi Februari 23, 2016 kutakuwa na matengenezo
kwenye laini ya Masaki ya msongo wa kilovolti 33 kuanzia saa 4 asubuhi. Maeneo yatakayo kosa umeme ni St. Peters, Mahenge St. Mzingaway, Toure Drive, US Embassy Masaki, Sea Cliff, Yatch Club, Mwaya Road na baadhi ya maeneo ya Mikocheni. Tunatarajia Kazi hiyo itakamilika saa 8 mchana.

Nia ni kuhakikisha mifumo ya usambazaji umeme inaimarika ili kuondoa tatizo la kukatika umeme mara kwa mara.

Matangazo yalitolewa ITV, Daily news, Majira na Uhuru.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Back
Top Bottom