TANESCO Songea wanazima umeme kila baada ya dakika tano

TANESCO Songea wanazima umeme kila baada ya dakika tano

teh teh teh,. Kijana unapiga mark time bure!!

Mimi nakuacha, sihitaji league na wewe kuna thread za muhimu hapa Jamvini za kuchangia, ngoja niwaache na Umeme wenu wa mgao kutoka CCM,.!!

ccm ni mimi au wewe uliyemchagua mbunge kwa chama hicho.!?
Kweli wewe na Makamee hamna tofauti,mwenzako alijitangaza hadharani kuwa ni kilaza,wewe tutakutangaza wanajamii.!
 
Last edited by a moderator:
Nahisi wewe ni mwana CCM pure. Makambi, Mateka, Matogoro, Seedfarm, Ruvuma, Lizaboni, Mshangano(ukiacha mjini)wakati naandika post hii umeme ulikuwa unasumbua balaa. Kila baada ya dk 5. Hebu niambie kuhusu umeme jana jioni saa moja Seedfarm. CCM hawana la kujivunia Ruvuma!

for 7 years nimeishi Songea !
Na hiyo shida ya umeme nakwambia bado !

Kuna wakati mtakuwa mnaona umeme unawaka Hapo Mahenge tu ! Kwngine kwote ni Giza !

Na hapo shida ilitulia kidogo alipokuja mkuu wa mkoa mpya bwana Mwambungu ! Ila alipokuwa yule mmama Tabu ilikuwa kubwa sana !

Na huko hata kuandamana hamuwezi coz hamko organized sana labda muwa switch hao madereva yebo ! Waungozane muandamane !

Kuna kipindi Ratiba ilikuwa ni Saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni
usiku mzima mnalala giza !

Ikaja Kila baada ya siku moja baadae kila baada ya siku mbili ! Na ikaja mpaka wiki inaisha umeme baadhi ya mitaa hakuna !

Umewahi katika umeme Bombambili hapo wiki Tatu !
Nnavyokwambia umeme haujaanza kusumbua bado hauelewi !

Unaleta hoja za kijinga ! Eti mi CCM ! Kwa taarifa yako mi sina chama na hata sioni umuhimu wakuwa na Serikali !

Songea mtazidi kulia tabu ya umeme milele kama mtamwachia huyo kichwa maji Nchimbi aongoze huo mji !
 
Songea ni miongoni mwa mikoa ambayo raia wake hawana muamko hata kidogo, ni vilaza sana. Yaani eti mbunge wao ni Nchimbi! Huwezi ukawa na akili halafu ukamchagua Nchimbi kuwa mbunge wako. mtaendelea kuogelea gizani hadi hapo mtakapojua umuhimu wa kutumia vizuri maboksi ya kupigia kura. Na mnabahati sana kwa kujengewa barabara na waingereza maana bila hiyo na nyie mngekuwa kama mtwara tu, msingekuwa na barabara ya kueleweka. kazi yenu kujenga gesti tu pale mfaranyaki... tumieni akili mwaka 2015 msimchague Nchimbi jamani hafai yule!? naandika haya kwa uchungu sana jaman waigeni mbeya la sivyo mtaendelea kufubaa na huo udongo mwekundu.
 
kweli mkuu, nipo huku Songea panatia huruma sana ukilinganisha na mikoa mingine.

Hata Mtwara wamewazidi Ujanja!!
 
kweli mkuu, nipo huku Songea panatia huruma sana ukilinganisha na mikoa mingine.

Hata Mtwara wamewazidi Ujanja!!

Wakati mikoa ya kaskazini ikipewa sifa ya kuwa na maendeleo makubwa, eti Songea wenyewe wana sifa ya ukarimu! ukarimu katikati ya umaskini? kwikwikwikwikwi.....
 
Wakati mikoa ya kaskazini ikipewa sifa ya kuwa na maendeleo makubwa, eti Songea wenyewe wana sifa ya ukarimu! ukarimu katikati ya umaskini? kwikwikwikwikwi.....

hahahhahhahahah,..

Kwa ukarimu nawapa 100%
 
Kero za umeme zinazidi Songea. Tangu asubuhi hadi saa hizi umeme unazimwa na kuwasha kila baada ya dakika 5. TANESCO acheni hizo kama mmeshindwa kazi mbinafsishwe tu aaargh

Mbunge wenu ni wa Chama gani?
 
Back
Top Bottom