TANESCO Songea wanazima umeme kila baada ya dakika tano

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
195
Kero za umeme zinazidi Songea. Tangu asubuhi hadi saa hizi umeme unazimwa na kuwasha kila baada ya dakika 5. TANESCO acheni hizo kama mmeshindwa kazi mbinafsishwe tu aaargh
 
D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,694
2,000
hakika tanesco wanachangia kudorala kwa maendeleo ya huu mji wetu.umeme nimuhim sana kwamaendeleo ya watanzania.

Tanesco nishirika linaloficha mafisadi wakubwa hapa nchini kwetu.ndio shamba lao wanavuna mda wowote wanaotaka.

Hakika itungwe sheria yakuishtaki tanesco pindi wanapo kata umeme bila sababu zenye mashiko.inakera sana.

Raisi kikwete ile mashine uliyoileta songea nimzigo tu.narafiki yako nchimbi hana jipya.tulitaraji baada ya kuvuliwa uwaziri tungemuona huku songea,lakini hataki kuludi kwao.

Tanesco songea sisi vijana tunategemea sana umeme ili tujiletee maendeleo yetu na ya taifa kwaujumla.badilikeni tanesco
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,739
2,000
Hasa kwa siku ya Jana wamekata sana umeme naona hata leo wanataka kufanya kama walivyofanya jana,.

R.I.P Tanesco
 
kcwa

Member
Apr 4, 2014
14
20
hakika tanesco wanachangia kudorala kwa maendeleo ya huu mji wetu.umeme nimuhim sana kwamaendeleo ya watanzania.

Tanesco nishirika linaloficha mafisadi wakubwa hapa nchini kwetu.ndio shamba lao wanavuna mda wowote wanaotaka.

Hakika itungwe sheria yakuishtaki tanesco pindi wanapo kata umeme bila sababu zenye mashiko.inakera sana.

Raisi kikwete ile mashine uliyoileta songea nimzigo tu.narafiki yako nchimbi hana jipya.tulitaraji baada ya kuvuliwa uwaziri tungemuona huku songea,lakini hataki kuludi kwao.

Tanesco songea sisi vijana tunategemea sana umeme ili tujiletee maendeleo yetu na ya taifa kwaujumla.badilikeni tanesco
..nani kakudanganya Nchimbi kwao ni Songea? ..Nchimbi ni mtu wa Mbeya na kamwe hawez kuwa na uchungu na maendeleo ya Songea. Mwacheni amalize muda wake asepe, ashavuna shamba la bibi....
 
y-n

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,999
2,000
Kuna ndugu yangu alisafiri kama siku tatu zilizopita akitokea dsm.
Anajutaaaaa kuja na Android phone Songea.!
Bora angekuja tu na 1100 yake.
 
Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,024
2,000
Huu ndio ubaya wa kuchagua CCM. Nchimbi ni gogo lisilo na faida yeyote na lisilojisukuma. Nimefika hadi alikojenga Mateka. Barabara ya kuanzia pale Songea girls hadi unavuka mto unapandisha haipitiki. Kama gari hata mbili haziwezi kupishana lazima moja ikae mlimani kungoja nyingine ipite kwanza. Kwa taarifa za kweli toka kwa mtendaji mmoja wa TANESCO ni kuwa Kikwete alitoa hela ili Songea ipate jenereta jipya. Walichofanya wakaramba hela na jenereta linalosumbua wakalipaka rangi wakasema tayari wamenunua jenereta jipya. Maendeleo Ruvuma labda kama wataamua wenyewe kuachana na wali,kanga,kofia na rushwa za CCM. Ila wanavyoipenda CCM huwaambii kitu. Ruvuma wamelala sana katika kila eneo.
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,739
2,000
Kuna ndugu yangu alisafiri kama siku tatu zilizopita akitokea dsm.
Anajutaaaaa kuja na Android phone Songea.!
Bora angekuja tu na 1100 yake.

hiyo aliyokuja nayo haitumii umeme mkuu!!
 
Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,024
2,000
Huu ndio ubaya wa kuchagua CCM. Nchimbi ni gogo lisilo na faida yeyote na lisilojisukuma. Nimefika hadi alikojenga Mateka. Barabara ya kuanzia pale Songea girls hadi unavuka mto unapandisha haipitiki. Kama gari hata mbili haziwezi kupishana lazima moja ikae mlimani kungoja nyingine ipite kwanza. Kwa taarifa za kweli toka kwa mtendaji mmoja wa TANESCO ni kuwa Kikwete alitoa hela ili Songea ipate jenereta jipya. Walichofanya wakaramba hela na jenereta linalosumbua wakalipaka rangi wakasema tayari wamenunua jenereta jipya. Maendeleo Ruvuma labda kama wataamua wenyewe kuachana na wali,kanga,kofia na rushwa za CCM. Ila wanavyoipenda CCM huwaambii kitu. Ruvuma wamelala sana katika kila eneo. Pia naungana na mdau hapo juu, Nchimbi sio mtu wa Songea ni wa Mbeya.
 
Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
Songea hata mtu ukipotea miaka mi5 haibadiliki..Nchimbi yuko zake daslam atajuaje kero za wananchi?

Hivi chinja chinja hawajarudigi tena?
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Kero za umeme zinazidi Songea. Tangu asubuhi hadi saa hizi umeme unazimwa na kuwasha kila baada ya dakika 5. TANESCO acheni hizo kama mmeshindwa kazi mbinafsishwe tu aaargh

We jamaa umeme songea bado haujaanza kusumbua we jamaa !

Mbona muongo hivyo ! Yaani kila baada ya dakika 5 unawaka alafu unalalamika !
Ngoja utakapo anza may be wewe ni mgeni !
 
Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
195
We jamaa umeme songea bado haujaanza kusumbua we jamaa !

Mbona muongo hivyo ! Yaani kila baada ya dakika 5 unawaka alafu unalalamika !
Ngoja utakapo anza may be wewe ni mgeni !

Nahisi wewe ni mwana CCM pure. Makambi, Mateka, Matogoro, Seedfarm, Ruvuma, Lizaboni, Mshangano(ukiacha mjini)wakati naandika post hii umeme ulikuwa unasumbua balaa. Kila baada ya dk 5. Hebu niambie kuhusu umeme jana jioni saa moja Seedfarm. CCM hawana la kujivunia Ruvuma!
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,739
2,000
tumia kichwa kufikiri

Je wewe umetumia nini mpaka ukanijibu hivi? Unajibu baada ya kufikiri au unakurupuka tu kijana!!

Unajua ni kwanini nimemuuliza swali jilo?

Mwenye akili timamu lazima angeuliza vile, sasa sijui akili zako unazitumia kufanya nini!!

Nenda kamuulize huyo niliyemuuliza hilo swali kwanini nimemuuliza hivyo kisha uje hapa tena kuhara kama bata!!!
 
Huna lolote unalolijua wewe.
Mimi ndiye niliyeandika ile post ya "android phone".
Aniulize nini sasa?
Kilaza weeeee..! golota
Achana na hili jinga.
 
Last edited by a moderator:

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,739
2,000
Kuna ndugu yangu alisafiri kama siku tatu zilizopita akitokea dsm.
Anajutaaaaa kuja na Android phone Songea.!
Bora angekuja tu na 1100 yake.Labda mimi sikumuelewa mleta mada,.

Vaislay na Golgota

nijibuni mlivyoelewa nyie!!
 
Last edited by a moderator:

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,739
2,000
Huna lolote unalolijua wewe.
Mimi ndiye niliyeandika ile post ya "android phone".
Aniulize nini sasa?
Kilaza weeeee..! golota
Achana na hili jinga.

teh teh teh,. Kijana unapiga mark time bure!!

Mimi nakuacha, sihitaji league na wewe kuna thread za muhimu hapa Jamvini za kuchangia, ngoja niwaache na Umeme wenu wa mgao kutoka CCM,.!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom