kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
wanajamvi nimeona ni vema nilete huu uzi baada ya kufanya jitihada nyingi za kutaka kujua ukweli wa kukatiwaumeme kila uchwao bila mafanikio.
kimsingi wakazi wa wilaya ya songea tunatumia umeme wa TANESCO wa jeneretas.. sasa kuna miezi kadhaa tumekuwa tunakatiwa umeme toka asubuh hadi saa 5 usiku. nilipokuwa nafuatilia suala hili nilikutana na vikwazo kwa kuwa ulikuwa ni uchunguzi wangu binafsi, lakini kuna vijana kadhaa wanaofanya kazi ndani ya zile mashine walisema..
kuna wakubwa huwa wanatoa amri ya kufungua baadhi ya vipuli kwenye zile mashine na kutolea taarifa za kuwa mashine mbovu ila mafund wanaendelea na matengenezo. wakati wakifanya hayo lengo ni kutaka kukwapua pesa kupitia mafuta alisema kijana huyo ambaye hajataka jina lake litajwe.
anaongeza na kusema,ndugu yangu we hujiulizi mwaka jana umeme ulipokuwa unakatika vile. watu wakaandamana mpaka pale ofisin mbona umeme ulikuwa unawaka muda wote! kwa hiyo na sasa mkitaka umeme usikatike lazima muandamane, anasema. maana hata sisi hatupendi haya.