MAGUFULI WAKATI POVU LA MDOMO LIKIKUTOKA NA “KA-TA” UMEME ZANZIBAR KWA DENI LA BILLIONI 121 TUNAKUKUMBUSHA KUWA TANESCO INAENDESHWA KWA RASLIMALI ZA MUUNGANO IKIWA NI PAMOJA NA KODI YA MAPATO KUTOKA ZANZIBAR MBALI YA MADENI MENGINE TUNAYOIDAI TANGANYIKA.
Bahati njema Bodi ilipeleka Paundi za kiingereza 82,840 kama ni mchango wa Zanzibar katika uanzishwaji wa Benki Kuu ya Tanzania. Fedha hizo zilimezwa na Tanganyika na kuundwa Benki Kuu moja, The Bank of Tanzania (BOT) kwa mtaji wa Paundi za Kiingereza milioni moja wakati huo ikiwa ni sawa na Shilingi milioni ishirini (20,000,000) za Afrika Mashariki (East African Shillings) Kasoro ya kufikia pauni 1,000,000 ilijazwa na Serikali ya Muungano. Kwa urahisi zaidi tazama hesabu hizi chini:
Mchango wa Serikali ya Tanganyika ni Pauni za Kingereza £668,884
Mchango wa Serikali ya Zanzibar ni Pauni za Kingereza £82,840
Jumla ndogo (ST + SMZ) ni pauni £751.724
82,840*100 /751,724 = 11.025%
82,840 *100/668,884 = 12.388482%
Muda wote ule wa uhai wa EACB, Zanzibar ilikuwa ikipata si chini ya asilimia 12.40 (12.4 %) ya mgao wowote ule unaotolewa na Bodi kwa Tanganyika. Ukweli huu unathibitishwa kwa kuangalia mgao uliofanyika wakati zikigawiwa fedha za mwisho zilizobaki katika Account za Bodi hiyo kama zilivyooneshwa katika kumbu kumbu ya Bodi hiyo za (21st August 1972 zilizoandikwa na Mr. A.C.C.Roberts)
Chanzo : Juma Duni.