Tatizo la hapa kwetu nasikia zile nguzo zinatoka SA kumbe zinatoka Mafinga nk,ila mkandarasi anasema nguzo zinatoka SA ili alipwe $$$$ nyingi!!
Mradi wa watu kupiga pesa,naamini kamwe hawatakubali kusambaza umeme kwa njia kama ya picha,kwa kigezo cha kuwa sio salama,kwani wao walisambaza huo umeme huko ina maana hawajui maana ya usalama??!!!