Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
Kwa muda mwingi Tanesco imekuwa tatizo kuanzia kuipata huduma yenyewe hadi hata ukiwa na umeme kina wateja wanamiezi zaidi ya minne wamelipia umeme lakini wanaambiwa nguzo hamna mara mita hakuna kama mliweza kuruhusu vifaa vingine tununue wenyewe baasi na hizo mita wapewe wauze nyie msajiri tu MMESHINDWA KAZI....