sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,318
Je unazungumzia nafasi ya wapi? Zilitangazwa nyingi tunaomba ufafanuzi zaidi na majina ya hawo uliotuhumu kuwa wamewekwa hata inboxKinachoendelea ni dalili za rushwa watu kuweka watu wao. Mtaalamu wa NIT aliwafanyisha practical ya uendeshaji, akamaliza vijana wakachaguliwa. Wakawa wanasubiri ORAL interview. Leo ameondoka huyu mtaalamu wa NIT, wakawa wamekosa nafasi ya kuweka vijana wao, huku nyuma wameanza upya zoezi hilo kwa njia ya udanganyifu eti wanataka kuwapima tena.Ni udanganyifu wa kuweka watu wao!
Nani aisimamie haki itendeke? Usalama wa taifa liangalie hili. Takukuru ni wenzano, hawaa msaada!
Una ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikiaTanesco Ni kawaida yenu banaa.... Mpaka uwe na ndugu yako pale officn kwao ndo utapata hata hizi ST..... Juzi hapa walikua na written interview lkn duh
Mrejesho wa swala lakoUna ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikia
Hongera sana Afisa habari wa TANESCO, angalau kwa kuchukua muda wako kujibu tuhuma dhidi yenu kwenye mitandao ya kijamii! Natamani natamani taasisi nyingine za umma kama Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu, nk kuiga mfano wako.Una ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikia
Tunawashukuru sana wapendwa wateja wetu.Hongera sana Afisa habari wa TANESCO, angalau kwa kuchukua muda wako kujibu tuhuma dhidi yenu kwenye mitandao ya kijamii! Natamani natamani taasisi nyingine za umma kama Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu, nk kuiga mfano wako.
Una ushahidi? Leta ushahidi au toa kwenye vyombo vya dola kuliko kutoa tuhuma ambazo wakati mwingine hata kazi haujawahi kuomba kwenye shirika unalolalamikia
Ndugu mpendwa mteja wetu tunaomba ushirikiano wako ili unacholalamikia kifanyiwe kazi kwa karibu zaidi. Tupo tayar kukusikiliza na kukupa ushirikianoDuh hili jibu mbona la ajabu sana kuandikwa na muwakilishi wa kampuni?
Umejibu kibinafsi kama vile unaogopa kuna kitu watu wasiwe huru.
Wewe unataka majina ya watu inbox, kwanini mnapojibu humu hamuandiki majina yenu mwishoni wa post zenu.
Unaweza kuwa wale wale.. tena wewe/nyie ndio mnaweza kuwashitaki walalamikaji au hata kupanga kuwaambia wahusika uwasaidie usipeleke malalamiko nanyi mpokee chenu.
Jifunzeni lugha ya kuwasiliana na wateja... kamwe huwezi jibu hivi hata kama unajua yameisha tokea.
Toeni majina wazi kila hatua.
Kwa majibu yako haya.. muanze kuandika majina yenu fuli. Mchunguzwe nyie kikazi
Ndugu mpendwa mteja wetu tunaomba ushirikiano wako ili unacholalamikia kifanyiwe kazi kwa karibu zaidi. Tupo tayar kukusikiliza na kukupa ushirikiano
Umetoa tuhuma mpendwa mteja wetu ingependeza ukatoa ushahidi wako ili tuanzie hapo kuchukua hatua.Sasa hii copy and paste si ndio umeharibu kabisa. Nimeshawashauri hapo.. ushirikiano wangu upi tena unahitaji huku nawasaidia kuwafundisha tena bureeeee!!!!
Mkijibu mfikirie na kujua wengine humu tumechoka kusoma blah blah zenu zingine. Seriously umejibu hayo badala ya kushukuru hata kwa ushauri niliowapa na nyie ndio muufanyie kazi!!!!!
Umetoa tuhuma mpendwa mteja wetu ingependeza ukatoa ushahidi wako ili tuanzie hapo kuchukua hatua.