Watendaji wa TANESCO wilaya ya Muleba wachunguzwe na ikibainikwa waevunja sheria wawajibishwe, wamekuwa wakishirikiana na wafanyakaz wa REA kuwahujumu wananchi kwa kuwatoza fedha kinyume na utaratibu wa TANESCO na REA,.
Mfano ktk kijiji cha Bushemba kata Buganguzi wamewatoza wananchi Tsh laki nne ili wawaunganishe na huduma ya umeme kinyume na utartbu wa rea kwa kisingzio cha nguzo wakati mwenye jukum ilo na REA, watu waliokidh vigezo kwa kulipia gharama stahiki na wakakosa laki nne ya wajomba hawakuunganishwa na umeme wakati walishalipia na kufanyiwa sarvey, haki hiyo imepindshwa na wajanja hao.