TANESCO Moshi kiboko

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
174,792
Reaction score
721,061
Nilikua kwa jamaa moshi tangu juzi, nyumba yake inatazamana na transfoma ya tanesco, fuse ikakatika tangu ya laini ya nyumba yake.akaripoti, tangu juzi kurudishia fuse imekuwa kazi. Mpaka naondoka leo jioni kimya, wanajibu mafundi watakuja...still unaona gari yao ya dharura inaranda barabarani. Siju watafika lini
 
Ndio tunaenda bro ila tulikuwa busy sana toka juzi,ila sisi hakuna Kulala soon jamaa atakupigia simu
 
Kweli kazi mnafanya, ila hiyo timu ya dharura mh! Unaripoti leo watakuja kesho, anyway poleni na kawarudishieni jamaa
 
Ndio tunaenda bro ila tulikuwa busy sana toka juzi,ila sisi hakuna Kulala soon jamaa atakupigia simu

Kwanini sio wakweli tanesco! Tuambieni hamrudishi umene watu wajue wanunue mishumaa mingi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…