G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,565
- 8,427
Maeneo ya Usagara jijini Mwanza toka asubuhi saa mbili hakuna umeme mpaka saa moja hii za usiku
Aisee wakati mwingine kwa kweli shirika lenu inabidi lipate mbadala kama ilivyotokea kwa TTCL japo si vyema kusema hivi lakini mnatuchosha sana na kutukosea,sometimes giza ndiyo linaingia nyie mnakata umeme,muda ambao tunahitaji mwanga na utulivu baada ya kazi
Fanyeni kutujali na muache kutudharau maana hata kama kuna tatizo la kiufundi muwe mnatoa taarifa lakini pia ifikie muwe na ziada ya mitambo yenu ili mkipata hitilafu mnawasha spare bwana.yani inakera sana sana.