TANESCO mnachokifanya huku Chanika ni uhujumu uchumi

Akili Sina

JF-Expert Member
Jan 18, 2018
301
2,218
Wakati hapa chanika kitongoji cha kidugalo tukililia umeme sababu nguzo hazijafika, nyie mmekuja kumwaga minguzo hapa karibu na Masai wawili tena kwenye maji zinaozea tu hapa miaka inaenda.

Kama vipi njooni mzichukue mpelekee wengine wenye shida maana sisi mmetususa, zikiozea hapa itakuwa ni uhujumu uchumi na kuchezea kodi za wananchi.
IMG_20200214_163536.jpeg
IMG_20200214_163516.jpeg
IMG_20200214_163504.jpeg
IMG_20200214_164144.jpeg
IMG_20200214_164117.jpeg
IMG_20200214_163540.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu waripotiwe kwa Mwewe wa Clouds Tv
Wakati hapa chanika kitongoji cha kidugalo tukililia umeme sababu nguzo hazijafika, nyie mmekuja kumwaga minguzo hapa karibu na Masai wawili tena kwenye maji zinaozea tu hapa miaka inaenda.

Kama vipi njooni mzichukue mpelekee wengine wenye shida maana sisi mmetususa, zikiozea hapa itakuwa ni uhujumu uchumi na kuchezea kodi za wananchi.View attachment 1357448View attachment 1357449View attachment 1357450View attachment 1357451View attachment 1357452View attachment 1357454

TUNASHUKURU KWA TAARIFA MPENDWA MTEJA WETU TUNAIFATILIA KWA HATUA ZAIDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madaraja mengi makubwa Marekani yalijengwa kwa kuzamisha nguzo kama hizo chini kabisa kwenye msingi na hayo madaraja mengi yanakaribia miaka mia na yanadunda mpaka wa leo!
Kwaiyo Unasapot Nguzo Kumwaga hapo na kutelekezwa kwa Kua haziozi?
 
Back
Top Bottom