TANESCO mna nini na mikutano ya CHADEMA

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,116
Reaction score
2,481
Hivi hayo matengenezo yenu hua yanasubiri tu chadema wanapokua wanafanya mikutano ??? Mbona mna makusudi sana ???? Jana Juzi last weeke umeme ulikuepo full sasa leo mtasema mlitangaza, mnauzi sana watu tumetafuta mpaka excuse tutulie tuangalie yanayojiri nyie mnakata umeme

Subirini na tutawanyoosha ngoja October ipite
 
ITV kama kwaida tunawaomba mrudie usiku!!!
 
Ikifika muda wa marudio watakata tena. Hawa na akili nzuri
 
wangekuwa na uwezo wakuzima na generators wangezima sijui wanaogopa nini?
 
Kama una king'amuzi chenye uwezo wa kurekodi. Kitendee haki. Ili tuone nani mjanja.
 
Mfumo gandamizi ndio unao wasumbua, Wazeee wa Lumumba wako kazini,, Watashindana ila hawatashinda,. Watazui mafuriko kwa mikono lakini yatawazoa.
 
Si mlisema Muhongo hafai basi sawa, mtulie mle matapishi yenu bila kelele vichomi nyie
 
Mfumo gandamizi ndio unao wasumbua, Wazeee wa Lumumba wako kazini,, Watashindana ila hawatashinda,. Watazui mafuriko kwa mikono lakini yatawazoa.

Yenyewe yako wapi? ama ni zile rushwa mlizowapa ili wawasaidie kwenye kasafari kenu mshenzi ..mbona yalikwama kwenye nec ama mvua zake za Srilanka na Pakistani hazikufika?
 
Yenyewe yako wapi? ama ni zile rushwa mlizowapa ili wawasaidie kwenye kasafari kenu mshenzi ..mbona yalikwama kwenye nec ama mvua zake za Srilanka na Pakistani hazikufika?
​Ukiona mayoa ujue kaliwa na ukiona mtu anatukana ujue kaishiwa hoja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…