Tanesco mmnakata umeme bila mpangilio.

zebradume

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
48
Reaction score
18
Wana jf..kwa kweli hawa tanesco sasa wamezidi kipimo wanatukatia sn umeme segerea bila sbb , kwa sasa imekuwa ndio mchezo hawana taarifa na wala hawaapologize. Haya muda huu hamna mvua wala upepo wamekata...tumewachoka.
 
Mkuu hawa watu sijui ni nini na huku pia wamechukua sasa hivi M/kijichi
 
Kimara nzima hamna umeme hawa waganga kweli.
 
Au ni maagizo ya sirikali tusiangalie vizuri habari za muungano ndani ya bunge la katiba na ya TUNDU LISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…