Tanesco mmezidi

Tanesco mmezidi

majiyachupa

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
57
Reaction score
11
Hongera sana tanesco kwa kukata umeme kwa muda wa masaa 24 sasa, ongezeni yawe masaa 116 ndo itakua poa maana huku tushazoea kukatiwa umeme hovyo hovyo

Kidumu chama cha mapinduzi

Tanesco oyee

Jimbo la kigamboni oyeee
 
Heri kuhamia solar

Na hii hali inabidi atakayegombea ubunge ailipe kwenye sanduku la kura
 
Ndugu yangu kaenda kuomba fomu ili ajaze ombi la kuingiziwa umeme kwenye nyumba yake. Wameishiwa fomu za maombi. Only in this area.
 
Hata hapa mtoni kijichi tangu jana ile mvua ya radi mpaka saa hizi saa 7 hii na hakuna maelezo
 
Walitoa taarifa jana kwenye taarifa ya habari ya itv kuwa kukosekana kwa umeme maeneo ya temeke,mton, mbagala,kigamboni na maeneo ya karibu kumetokana na kuanguka kwa nguzo za umeme 4 au zaid.
 
Hongera sana tanesco kwa kukata umeme kwa muda wa masaa 24 sasa, ongezeni yawe masaa 116 ndo itakua poa maana huku tushazoea kukatiwa umeme hovyo hovyo

Kidumu chama cha mapinduzi

Tanesco oyee

Jimbo la kigamboni oyeee
Hapo pengine panafaa kuandikwa "g"
 
Kweli inasikitisha, nguzo nne zinasababisha umeme kukatwa kwa zaidi ya saa 24!!!! Hii haivumiliki asilani!!!
 
Sasa hivi ni saa 3:05 asubuhi siku ya pili hakuna umeme jimbo la Kigamboni Mbagala....! Ingekuwa Oysterbay umeme ungekosekana kiasi hiki? Matapeli wa Tanesco na visingizio vya uongo
 
Sasa hivi ni saa 3:05 asubuhi siku ya pili hakuna umeme jimbo la Kigamboni Mbagala....! Ingekuwa Oysterbay umeme ungekosekana kiasi hiki? Matapeli wa Tanesco na visingizio vya uongo
Kijichi umeme hatujauona
Na huu ndo mchezo wao
Bure kabisa
Kama hatuna viongozi wa kutusemea?
 
images
 
Sasa hivi ni saa 3:05 asubuhi siku ya pili hakuna umeme jimbo la Kigamboni Mbagala....! Ingekuwa Oysterbay umeme ungekosekana kiasi hiki? Matapeli wa Tanesco na visingizio vya uongo

hata huku yaleyale...oysterbay power line kuna baadhi ya maeneo**ali bin said** 3 days now and counting
 
Back
Top Bottom