Mimi ni mmoja wa watu ninayefuatilia kila taarifa na sasa ninafuatilia kauli ya mzee Kingunge ambaye najua alikuwa kwenye system alisema" CCM Imeishiwa pumzi" haina uwezo tena ya kuendesha nchi. ijapokuwa naamini hili jambo si la kisiasa bado ninaamini utatuzi wake ni wa kisiasa. BILA KUBADILISHA UONGOZI WA NCHI TUTAENDELEA KUJUTA. serikari imechanganyikiwa haijui lipi muhimu sasa.