TANESCO mmesitisha huduma ya kununua umeme wa Luku mbona hakuna taarifa kwa wananchi?

Me mbona jana saa saba mchana nimenunua umeme kwa mpesa nikapata units na nikaingiza kwenye mita ika accept...sasa hii taarifa yako sijaielewa
Thread ya leo au jana? Soma kwa uangalifu halafu toa maoni yako itakusaidia mbeleni
 
Mkuu soma vizuri thread bhana. Na kazungumzia jana? Nimesema kuanzia asubuhi hii..
Kama ni kuanzia asubuhi hii sawa. Hata hivyo na wewe mkuu kama tatizo ni la asubuhi hii pekee kwanini usivute subira kidogo?
 

Acheni ufala,,kwani Huyo Rais hajui hayo mnadhani? Anajua sana kinachoendelea, ,
 
kwani hiyo server hipo mule kwenye jengo.kuna vitu vinaendeshwa kipuuzi .kama jengo linge ungua na hiyo server hipo hapo.si ndo tanzania nzima tuna kaa gizani
 
Sidhani kama hii taarifa yako ina ukweli aisee bana
Sikushikii fimbo kuamini iache kama ilivyo taarifa. Nimejaribu kununua mara kadhaa asubuhi hii nikadhani labda tatizo liko kwenye kampuni ya simu nikawasiliana nao wakasema nilivyo sema hapo kwenye thread.
 
Mbona mimi nimenunua kwa Tigo Pesa leo saa moja asubuhi?
 
Mkuu.. Ni vema ukapasua mbarika kuliko kuogopa kuwa watatumbuliwa, hayo ndo yanayosababisha watendaji kufanya kazi kwa mazoea na wananchi kukosa huduma muhimu
Ni kweli mkuu,ila dah,wakati mwingine huruma.Tatizo ni kwamba wao wanapokusudia kupiga ubinadamu wanaweka kando.
 
Mkuu inawezekana anajua au hajui.Tatizo la luku, tena within a short period,possibly hajui.
kila kinachoendelea ndani ya nchi Rais anapata taarifa kabla yako chief,,, hapo ulipo nae yupo kwa namna tofauti,, ILE kujifanyaga kuwa hawajui jambo fulani na kumtumbua mtu wa Idara husika, , inakuwaga ni siasa tu kutafuta KIKI ,, Rais anajua kila kinachoendelea, ,,kwenye kila sekta WaPo wazee wa umbea wanampa taarifa ya kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…