Tanesco mbona mbagala mnatuonea

Tanesco mbona mbagala mnatuonea

canal wa vita

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
16
Reaction score
35
Hii ni week end ya nne umeme hakuna yani kila j mo na j2 lazima umeme ukatike bila taarifa wala sababu za msingi kutolewa tunashkuru kwa mnacho tufanyia
 
Poleni sana ndugu, je unaukaribu na vyombo vya habari? Maana kama huna u best navyo pengine taarifa ya kukatika kwa umeme siku za jmos na jili
 
Ttzo lnakuja ni upande mmoja ndio unakatika charambe majimatitu A kila wk end ndo hakuna upande wa B kila wk end unapatkana
 
Ni kweli kabisa hivi ninapoongea leo 18/09/16 wamekata toka saa moja na nusu hapa kurasini
 
Hii ni week end ya nne umeme hakuna yani kila j mo na j2 lazima umeme ukatike bila taarifa wala sababu za msingi kutolewa tunashkuru kwa mnacho tufanyia
walitoa taarifa bado weekend mbili
 
1474177548681.jpg
 
Back
Top Bottom