TANESCO kusambaza nguzo za umeme zipatazo 12,000 mkoani Ruvuma

FikraPevu

JF-Expert Member
Jan 2, 2010
304
236
Mradi wa usambazaji Umeme Vijijini (REA) kwa Mkoa wa Ruvuma sasa umeanza kutekelezwa kwa Shirika la TANESCO wakishirikiana na Kampuni ya Lanka Transformer Limited kutoka Sir Lanka kuanza kusambaza Nguzo za Umeme zipatazo 12,000 FikraPevu imebaini.

Meneja wa TANESCO Mkoa wa Ruvuma Francens Maze amesema Nguzo hizo zitasambazwa vijiji vilivyo katika mpango wa REA ili kazi ya kusimika nguzo hizo ianze mara moja, Mpaka sasa Nguzo 1,500 zimeshafikishwa katika Kijiji cha Magagula Songea Vijijini Mkoani Ruvuma.


Meneja wa TANESCO Mkoa wa Ruvuma Frances Maze akiongea na FikraPevu Katika Kijiji cha Magagula Songea Vijijini amesema Mradi huo wa kusambaza Umeme vijini unatarajia kukamilika....

Habari zaidi, soma=> TANESCO kusambaza nguzo za umeme zipatazo 12,000 mkoani Ruvuma
 
Ari Mpya,

Nguvu Mpya,

Kasi Mpya....

Ufisadi mwingine kimtindo!


 
Back
Top Bottom