Tanesco kuna mgao wa kimya kimya au nini?

Tanesco kuna mgao wa kimya kimya au nini?

chuku

Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
40
Reaction score
0
Wana JF.
Binafusi sijaele nini kinaendelea huko Tanesco kwa sababu umeme umekuwa ukikatwa sana hasa nyakati za jioni lakini hatuja ambiwa kama kuna mgao au la..na kama ni Mgao inamaana Maji yamepungua tena Mtera,au kulikoni hebu nisaidieni.
 
hawa jamaa hawategemei mapato yatokanayo na mauzo ya umeme kuendesha shughuli zao! wangekua wanategemea sales wangeheshimu kila dakika ambayo mteja ameshindwa kutumia umeme waliouzalisha! si umesikia wamepeleka bakuli ili wapewe mgao kipindi hiki cha kuigawa keki kwa matishio kuwa tutaingia gizani?

najiuliza ni giza lipi hilo wakati moshi wa mshumaa unatuletea mafua tulio wengi! @,<:>~*/&%>>;...! zao
 
Back
Top Bottom