godson njamakuya
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 170
- 193
Kwamba Mkuu mimi nimetiririka tu sikuweka hivyo vituo?Nilipoingia JF nilijikuta nakumbuka uandishi kwa insha, hii ilinifanya nikakumbuka uandishi kwa vituo Kama koma, mshangao, nukta nk.
Mwisho wa maelezo.
At least ume-edit. Umefanya vema kabisa.Kwamba Mkuu mimi nimetiririka tu sikuweka hivyo vituo?
Nashukuru MkuuAt least ume-edit. Umefanya vema kabisa.
Ndugu mpendwa Mteja wetuNi siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme.
Hii itatufanya kuchukua tahadhari kwa kuzima main switch ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea pindi umeme unaporudi. Lakini Shirika husika limekaa kimya, kipindi cha nyuma kulikuwa na yule dada jina limenitoka yeye alikuwa Afisa Uhusiano TANESCO kukiwa na marekebisho flani eneo flani lazima atangaze kwenye TV sasa hivi kitu, mnashtukia tu mko gizani haijulikani umeme utarudi muda gani,hii ni hatari kwa usalama wa vifaa vyetu vinavyotumia umeme.
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Nyinyi wa 27,000/- au?Afazali ya weyee una umeme, huku kuna wengine tuliomba new connection llkn mpaka leo holaaaaaaaaaa hawa Tanesco kibaha hawaaaaa
Eh kibaha ni rural tuna. Lipia 27k over kwako wa laki3 na 15Nyinyi wa 27,000/- au?
Hii inapatikana wakati wa kukupimia ndio wataalamu wetu watafika eneo husika na kusema kama ni mjini au kijijini kwemdana na kuongozo wa serikaliEh kibaha ni rural tuna. Lipia 27k over kwako wa laki3 na 15
Wengine tulisha lipia 27kHii inapatikana wakati wa kukupimia ndio wataalamu wetu watafika eneo husika na kusema kama ni mjini au kijijini kwemdana na kuongozo wa serikali