Tanesco inaendeshwa kulingana na sheria zipi?


Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined
Oct 22, 2008
Messages
2,719
Likes
56
Points
145
Mwakalinga Y. R

Mwakalinga Y. R

Tanzanite Member
Joined Oct 22, 2008
2,719 56 145
Ni muda mrefu kumekuwa na matatizo ya umeme nchini tanznia.swali ni sheria zipi zinazoliongoza shirika hili?.kumekuwepo na malalamiko tokea miaka mingi sana kuhusu uharibifu na hasara watu wanazopata kutokana na hitilafu/matatizo ya umeme, yanayosababishwa na kampuni hii.ila hakuna uwajibikaji ili hali watu wanapoteza mali zao za thamini ikiwepo kuunguliwa na nyumba.
 

Forum statistics

Threads 1,213,384
Members 462,055
Posts 28,476,317