TANESCO in bed with Quality Group

Hii kitu imefufuliwa, nani anatafutwa hapa?, just thinking loud!!
 
Watu wanaodai kuwa Manji kaonewa na eti anaweka nje ya nchi pesa zake halali njooni tujadili humu. Natumai pamoja na kuwa imeandikwa kwa Kiingereza wachangiaji watapatikana!
 
..mmesahau kwamba JK alipokwenda USA alisafiri na Johnson Lukaza??

..mmesahau kwenye ile fundraising JK alikataa kupokea mchango wa Lukaza mpaka pale alipoongeza dau?
Kama Manji leo anatetewa na Chadema hata siku Lukaza akitiwa nguvuni malaika chadema watamtetea
 
Watu wanaodai kuwa Manji kaonewa na eti anaweka nje ya nchi pesa zake halali njooni tujadili humu. Natumai pamoja na kuwa imeandikwa kwa Kiingereza wachangiaji watapatikana!
Nimeisoma ni majungu tupu, Manji amefanya biashara halali na Tanesco so does Kernel.

Ingekuwa kuna ufisadi kama tungeelezwa ametoa huduma hewa na Kerner ameuza fire extinguishers hewa or at highly inflated prices.

Sio kila kinachosemwa na CAG ni ufisadi, angalia ripoti ya CAG ilisema nini kuhusu fedha za Escrow kama ni za umma au laa

Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !
Paskali
 

Mkuu Pasco hivi mpaka Escrow unatetea? Kulikoni? Dah! Hii ya Tanesco yapo mengi. Ishu hizi ziko nyingi. Nakushauri usijaribu kutetea kile kisichoweza kutetewa. Tunakuheshimu wengi mkuu!
 
All these guys are chadema members; aren't they?
 
Kama Manji leo anatetewa na Chadema hata siku Lukaza akitiwa nguvuni malaika chadema watamtetea

..mafisadi wa iptl, wahusuki wa kashfa ya uda, ununuzi wa kivuko mkweche, nao mtawapima kama wanavuta unga?
 
..mafisadi wa iptl, wahusuki wa kashfa ya uda, ununuzi wa kivuko mkweche, nao mtawapima kama wanavuta unga?

That's not the point, mkuu!
Manji kuhusishwa na dawa za kulevya ni suala moja lakini hapa tunaangalia suala pana zaidi la uhusika wa Manji katika ufisadi wa kila aina. Tusitake kujenga huruma eti kaonewa huku tunaelewa fika madudu yake. Kufanya hivyo ni unafiki mkubwa!
 

..haya maswala kama tunataka kupambana nayo na kuyashinda ni bora tukawaachia WATAALAMU na VYOMBO VYA DOLA kushughulika nayo.

..wanasiasa wakiingia humo ndiyo unaona watu wanatetea au kupinga kwa kuongozwa na itikadi za vyama vyao.

..kwa maoni yangu ni vigumu sana kwa mtu wa upinzani akafanya ufisadi halafu serikali isimshughulikie haraka haraka.

..mwisho, mimi simtetei Manji. Hoja yangu ni kuwa wapimwe na wengine zaidi kwa mfano mafisadi wa iptl, escrow, richmond,etc ili kubaini kama wanatumia madawa.
 

Pamoja mkuu katika lote na ndiyo maana hata suala la Tigo tuliachie mahakama na vyombo vya Dola
Kuhusu wengine washughulikiwe ila kwa kwa kesi ya Tigo serikali haijahusika bali ni makampuni mawili.
 
Siku hazigandi...iko siku tu.
 
Makaburi yanafukuliwa, hela ya wale watanzania 110% walio vijijini wanaopata shida za miundo mbinu, maji, afya, elimu, ustawi wa jamii na n.k. n.k. utatesa watu mjini!
 
Vyombo vya dola vimeingia kazini sasa.
 
Kama Manji leo anatetewa na Chadema hata siku Lukaza akitiwa nguvuni malaika chadema watamtetea
Wote CCM na Chadema ni wapuuzi tu, wanapokezana ujinga. Ukikumbuka maandamano ya kuunga mkono kauli ya jk kuwa pesa za escrow si za serikali. Msimamo wa chadema ulikuwa kinyume........hebu angalia hali ilivyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…