TANESCO imedanganya watanzania

Dec

Member
Jul 13, 2011
66
26
Shirika la kuzalisha na kusambaza umeme Tanzania TANESCO limewadanganya wananchi kwakuwaambia mwezi wa tisa watapunguza mgao wa umeme lakini bado. Tanesco mwezi wa tano mwaka 2011 lilipunguza usambazaji wa umeme kwa kudai wanasafisha mabomba ya gesi huko mtwara.matokeo yake wakaja na mgao wa mojakwamoja. 'Tanesco Punguzeni huongo kwasababu watanzania wamefunguka macho sikuhizi'
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,675
4,300
yaani saa mbili kamili usiku huu wametugawia giza! Tanesco hopeless kabsaaa!!
 

Greard

Member
Dec 23, 2010
64
21
Sasa si bajeti imepita? Wao hawana cha kupoteza, nguvu zimeelekezwa kumkomoa Jaro na Luhanjo.
 

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
82
hiv bado unaweza kusikiliza kauli za mafisadi. kwa kweli hawajadanganya. huo ndio ukweli wao siku zote. ie tofauti na maono ya watu wa kawaida.
 

ma2ngwa

Member
Sep 5, 2011
54
13
jamani hv ni serikali gn hii ya kudanganya wa2 wake?kila siku ni uongo dawa ni kujaribu other altenatives hawa ccm wameshachoka wenyewe kwao kila ki2 ni deal maisha ya watz kwao its not a priority!washenz ningekuwa naweza ningejiandikisha kila jimbo niwanyime kura yangu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom