Tanesco huku kuna tatizo gani

Tanesco huku kuna tatizo gani

Gthedon

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
22
Reaction score
4
Ni mwezi sasa kumekuwa na tabia ya umeme kukatika kati ya saa 19:30 — 20:15 nakurudi kati ya saa 21:30 —22:50 huku maeneo ya mbagala kirungure na maeneo ya jirani na hapa ,Tanesco tatizo ni nini.
 
Hii ndio Tanzania sio huko hadi Mwanza hali ni hiyo hiyo
 
Buza kanisani tumekata tamaa na Tanesco, tunafikiria njia mbadala.
 
Ni mwezi sasa kumekuwa na tabia ya umeme kukatika kati ya saa 19:30 - 20:15 nakurudi kati ya saa 21:30 -22:50 huku maeneo ya mbagala kirungure na maeneo ya jirani na hapa ,Tanesco tatizo ni nini.
sio huko tu hata mbeya maeneo ya uyole
 
Leo wamekata mapema saa 18:35hrs,lakini mi najiuliza kwa nini iwe usiku tu na kila siku kuna nini hapa,huku kuna ili bomba la mafuta kwenda zambia uwenda ndo sababu ya kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom