TANESCO, hivi mnajua mnanipa hasara ?

TANESCO, hivi mnajua mnanipa hasara ?

KRS

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
32
Reaction score
5
Mkataba wangu na ninyi ni kunipatia umeme kadri ya mahitaji yangu na mimi kuwalipa matumizi ya umeme huo kwa wakati na linapotokea tatizo la msingi la kutopatikana kwa umeme napaswa nipewe taarifa sahihi kupitia vyombo vya habari, Magazeti, TV na Redio! Sasa mnazima umeme kama mtu anazima taa chumbani kwake, taarifa sipati! Mnajua mnantia hasara!?
 
Fedha ya wizi wa mafisadi kupitia hii kampuni ungeweza kuifanya nchi hii ijiendeshe bila kutegemea wafadhili!
 
Back
Top Bottom