Nani alikwambia Tanesco inashughulika na kusaidia maskini?Kuna mambo nchi hii yanatia hasira kupitiliza. Yaani unajibana miaka chungu unapata zako laki 3 unasema ukamwekee mzazi wako umeme walau nae aepuke karaha za giza. Unaenda TANESCO unapewa control number ya kulipia halafu unaambiwa umeme usubiri kwani kuna watu tangu December mwaka jana hawajapata umeme. Hii maana yake nami nisubiri hadi mwakani!!
Sasa kama TANESCO hili tu la kununua Meter na kufungia mtu at a time mnashindwa sijui mtaweza lipi katika dunia hii ya teknolojia!! Kama kwenu kununua vifaa ni shida ni bora hizo hela kila mtu angeruhusiwa anunue vifaa yeye mwenyewe na nyinyi muje tu kuunganisha lakini hili mnalofanya ni jambo la kishamba lililopitiliza.
Ombi:Kama kuna mtu anaweza kunisaidia namna ya kurudisha hiyo hela yangu niliyolipia nikaifanyie mambo mengine.
Andika barua ya kusitisha maombi, nakala ipeleke ofisi ulipoombea, UTARUDISHIWA PESA YAKO BAADA YA BARUA YAKO KUPELEKWA HADHINA!Kuna mambo nchi hii yanatia hasira kupitiliza. Yaani unajibana miaka chungu unapata zako laki 3 unasema ukamwekee mzazi wako umeme walau nae aepuke karaha za giza. Unaenda TANESCO unapewa control number ya kulipia halafu unaambiwa umeme usubiri kwani kuna watu tangu December mwaka jana hawajapata umeme. Hii maana yake nami nisubiri hadi mwakani!!
Sasa kama TANESCO hili tu la kununua Meter na kufungia mtu at a time mnashindwa sijui mtaweza lipi katika dunia hii ya teknolojia!! Kama kwenu kununua vifaa ni shida ni bora hizo hela kila mtu angeruhusiwa anunue vifaa yeye mwenyewe na nyinyi muje tu kuunganisha lakini hili mnalofanya ni jambo la kishamba lililopitiliza.
Ombi:Kama kuna mtu anaweza kunisaidia namna ya kurudisha hiyo hela yangu niliyolipia nikaifanyie mambo mengine.
Mnyonge ndio nishanyongwaNikutoe wenge tu kuwa hiyo pesa yako haiwezi kurudi, tafuta nyingine tu…. ni kiendacho kwa mganga.
Dah!!Andika barua ya kusitisha maombi, nakala ipeleke ofisi ulipoombea, UTARUDISHIWA PESA YAKO BAADA YA BARUA YAKO KUPELEKWA HADHINA!
Ukizingua wanaweza wasikupe umeme na hela hawarudishi na hakuna kitu utawafanya!
Jaribu kuwa mpole zama zimebadilika! Kula kwa urefu wa kamba ndo mziki uliopo hewani!
Ukileta mawenge huko kuna mawenge zaidi
Nan kakwambia nimeenda kuomba msaada Tanesco?Nani alikwambia Tanesco inashughulika na kusaidia maskini?
Machawa kama wewe hamstaili kuishiNani alikwambia Tanesco inashughulika na kusaidia maskini?
Ndugu mtejaKuna mambo nchi hii yanatia hasira kupitiliza. Yaani unajibana miaka chungu unapata zako laki 3 unasema ukamwekee mzazi wako umeme walau nae aepuke karaha za giza. Unaenda TANESCO unapewa control number ya kulipia halafu unaambiwa umeme usubiri kwani kuna watu tangu December mwaka jana hawajapata umeme. Hii maana yake nami nisubiri hadi mwakani!!